Imevuja leo ione baba na mwanae

Hazra Mwasenga, mkazi wa Kitongoji cha Haduye Kijiji cha Iwala, Kata ya Itale wilayani Ileje, mkoani Songwe, ametiwa mbaroni kwa tuhuma za kumuua mwanawe, Subi Mwasenga 28kwa kumkata mapanga kisha kumzika kienyeji kwa siri, akimtuhumu kuiba nyama.

imevuja leo ione baba na mwanae

Mwenyekiti wa kijiji hicho, Joseph Mwabezya, alisema tukio hilo lilitokea mwishoni mwa wiki na aligundua alipotembelea maeneo ya makazi ya mzee huyo alimsalimia na kuuliza kuwa mwanawe haonekani na kuhoji tuta lililopo pembezoni mwa nyumba yake.

Alisema baada ya kumkata na mapanga mwanawe, alipoona amekufa aliamua kuchimba shimo na kumfukia kwa siri kwa kuwa alitenda kosa la kuiba nyama. Mwabezya alisema baada ya kutoka eneo hilo alikwenda kutoa taarifa hizo polisi na kwenye kamati ya ulinzi na usalama ya wilaya kutokana na ukubwa wa tukio hilo, na kuwa vyombo vya usalama baada ya kufika eneo hilo walimkamata Mwaisenga. Joseph Mkude, Mkuu wa Wilaya hiyo na Mwenyekiti wa Kamati ya Ulinzi na Usalama, alithibitisha kutokea kwa tukio hilo na kusema ni tukio la pili la kikatili kutokea ndani ya muda mfupi.

Alisema Jeshi la Polisi linaendelea na uchunguzi na kuchukua hatua, ikiwamo kumfikisha mahakamani mtuhumiwa huyo. Lemutuz Blog. By lemutuz blog. Share this post. Related articles. All rights reserved.About Unknown Soratemplates is a blogger resources site is a provider of high quality blogger template with premium looking layout and robust design.

The main mission of templatesyard is to provide the best quality blogger templates. Chapisha Maoni. Home About Contact Mwezi septemba mwaka jana Lampard aliifungia Man City goli la kusawazisha katika sare ya na kuinyima klabu yake ya zamani pointi tatu, lakini aligoma kushangilia kabisa.

Baba yake mzaziLampard Snr ameweka wazi kuwa mwanae atafanya hivyo tena kama atafunga kesho kwasababu bado wana tiketi za Stamford Bridge. Hakuna maoni:. Chapisho Jipya Taarifa za zamani Nyumbani.

Jisajili kwenye: Chapisha Maoni Atom. Timu ya Manchester United imepata kipato kikubwa kuliko timu yoyote katika msimu uliopita kulingana na taarifa zilizochapishwa na k KWA hesabu za harakaharaka, timu ya Yanga imeshatupwa nje ya michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika baada ya kucheza mechi tatu na ku Wote kwa pamoja Lionel Messi na Cristiano Ronaldo ni miongoni mwa wachezaji wanaounda kumi bora ya wachezaji wanolipwa vizuri zaidi ulimw Asante Muya inamilikiwa na Hemed Muya.

Inaendeshwa na Blogger. Tafuta katika Blogu Hii. Ad Home. Kunihusu Unknown Tazama wasifu wangu kamili. Subscribe Here. Follow by Email. Recent Post. Recent In Internet.Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano. Unordered List Sign up for email to not miss these articles every day.

Definition List. Admin Wednesday, July 23, ali kibabifuudaku. Miongoni mwa vitu vilivyokuwa vikisubiriwa kwa hamu na mashabiki wa bongo fleva wiki hii ni pamoja na kusikia kauli ya Alikiba kuhusu chanzo cha beef kati yake na msanii mwenzake Diamond Platnumz. Kupitia kipindi cha The Sporah Show, kilichoruka July 22 Clouds TV, Alikiba amefunguka mambo mengi ikiwemo jinsi walivyofahamiana kwa mara ya kwanza, chanzo cha beef yao na wakoje hivi sasa.

Kabla hujafahamu undani wa alichokizungumza, hizi ni facts chache alizozitoa Alikiba katika interview hiyo. Alikiba ni shabiki wa nyimbo za Diamond hadi sasa! Alikiba ana watoto watatu, lakini hana uhusiano tena na mama zao Asilimia kubwa ya kipindi ilihusu uhusiano wa Alikiba na Diamond, na hii nisehemu ya maelezo ya Kiba.

Ila alinipigia simu baada ya ile nyimbo kuleak, imevuja Single boy, tayari nimeshafanya na Jaydee, akaisikia kwenye simu Ali kuna nyimbo nimeisikia unaonaje ile tukifanya ile itakuwa safi sana afu akanipa mpaka idea ya video na nini, nikamwambia sawa inawezekana lakini mimi nadhani itapendeza zaidi tukifanya nyimbo nyingine mimi na wewe, kwa sababu hii tukifanya mimi na wewe haita make sense inapendeza ikiwa single boy single girl, hicho ndo kitu nilimjibu. Hicho ndo kitu ambacho nilimjibu Diamond.

Nakwenda kutembea kama nyumbanikuwatembelea studio kumtembelea producer wangu, nikamkuta Diamond nae studio anarecord.

MAGAZETI YA LEO JUMANNE TAREHE 28.05.2019

Kuingia pale ndani ya studio nikakuta amesha record kabisa…akaniambia hebu sikiliza hii, nikasikiliza nikamwambia umeimba vizuri sana…nikajaribu kumwambia ungeimba hivi na hivi na hivi ingekuwa vizuri sana ila niliheshimu mamuzi yake kwa sababu kila mtu na style yake, nikawa nataka kuondoka akaniita, akaniambia nakuomba uingize zile sauti zako za juu, kila mtu anajua ukisema hivyo, kuna sauti zangu flani hizo silaha zangu naweza kusema wengi wanapenda.

Nikamwambia nikiingiza vile nitaharibu mi nahisi umeimba vizuri sana, akaniambia imba bwana, atleast chochote kile, ndio nikaimba sasa mimi pale baada ya kufanyaje, nimeona aibu kumkatalia mbele ya producer wangu. Ni Kwa mapenzi yote nilifanya, nikamfanyia vizuri, kweli nilikwenda na feeling nzuri sana kwa sababu nyimbo ilikuwa ndio style yangu vile vile.

Baada ya Alikiba kugundua hilo alichukua hatua gani za kumuuliza Diamond au producer? Formula tofauti najua sasa hivi wanahitaji nini sababu muda ambao nimepumzika nilikuwa kama mshabiki wa muziki…lakini sikuweza kupata muziki ule kama tulikuwa tukisikia zamani Latifah…Violet ambao ule kama wimbo wa taifa.

Stay tuned! No comments:. Subscribe to: Post Comments Atom. Popular Posts. Picha chafu zinazodaiwa kuwa za star wa filamu nchini Shamsa Ford na mbunge wa Chadema, Salvatory Machemli zimeanza kusambaa kwa kasi mitan Baada ya Jackline Wolper kulalamika kuwa filamu aliyoitoa ya kumuenzi Steven Kanumba ya After Death haikumpa faidasasa stress alijarib Nicki Minaj ni mwanamziki asiyeona haya hata mara moja.

Mwanamziki huyu amerusha picha zake mpya katika mtandao wa Twitter. Picha za kw Elizabeth Michael aka Lulu is already taken! Na sasa ni mke halali wa ndoa kwa ndugu yetu….!

Sentensi niliyoiandika hapo juu inaweza kuwPost a Comment. FILMS 2.

imevuja leo ione baba na mwanae

Kuna baadhi ya filamu ambazo amecheza na wasanii wengine kama Jennifer Kyaka Odama. Marehemu Rose alikuwa anahusika na maswala ya "make up" wakati wa maandalizi ya kutengeneza filamu.

Marehemu alikuwa anasumbuliwa na tumbo kwa muda mrefu mapaka mauti ilipomkuta siku ya Jumamosi 5 Agosti katika hospitali ya Muhimbili Dar es Salaam Tanzania. Marehemu ameacha mtoto mmoja Loveness mwnye umri wa miaka Rose Thomas enzi za uhai wake Ndugu na jamaa wakiwa Muhimbbili mochwari.

Kutoka kulia ni Jacquiline Wolper, Odama na Roda wakiwa katika mawazo wakati wa kusubiria mwili wa marehemu mochwari Muhimbili. Dada wa marehemu, Pilly katikati akipelekwa mahali pa kupumzika wakati akisubiri mwili wa marehemu. Kutoka kulia wa pili ni msanii wa Bongo Movie, Recho Haule, akimkumbuka rafiki yake kwa majonzi makubwa. Pumzika kwa amani mwanangu, tulikupenda ila Mungu amekupenda zaidi.

Mdogo wa Marehemu Happy akiwa ameshikiliwa baada ya kuaga mwili wa dada yake mpendwa. Msanii wa Bongo Movie, Odama akishindwa kutembea baada ya miguu yake kufa ganzi kutokana na uchungu aliokuwa nao kwa kupotelewa na rafiki yake mpenzi ambaye amecheza naye filamu mbalimbali. Odama akitoa machozi na kutoamini kuwa kweli rafiki yake hatamuona tena dunia.

imevuja leo ione baba na mwanae

Rafiki yake na marehemu mama Bryan akitoa heshima zake za mwisho kabla ya mazishi kufanyika. Mwili wa marehemu Rose Thomas ukipelekwa katika nyumba yake ya kupumzika milele. Mama mzazi wa marehemu Roda Thomas katikati akimlilia mwanae Roda Thomas. Mdogo wake marehemu, Happy akiweka shahada katika kaburi la dada yake.

Odama akiweka shahada kama ishara ya upendo na kumuaga rafiki yake mpendwa marehemu Rose Thomas. Mtoto wa marehemu, Loveness akiliweka shahada katika nyumba ya mama yake kama ishara ya upendo na kuagana. Kutoka kulia ni Roda, Johari na Odama wakielekea nyumbani baada ya kumzika rafiki yao mpendwa Rose.

No comments:. Newer Post Older Post Home. Subscribe to: Post Comments Atom.Habari ndo hiyo kwa wazushi. Well done Prezident wa Wasafi na leo naona ametokelezea ki Al Haj zaidi. Cameraman wa Azam Tv akiwa kazini. Vurugu ilipokuwa kubwa mama huyo aliwaambia polisi kwamba wasimtishie bunduki hata yeye anayo na alipotaka kuitoa polisi wakampiga risasi. Mama huyo amekimbizwa hospitali na yupo chumba cha upasuaji. Watu waliohudhuria mahakama hapo wakifuatilia kesi hiyo. Nyuso za matumaini Waandishi wa habari wakiwa chini wakati wa harakani za kuchukua matukio mahakamani hapo.

WAGANGA wawili wa jadi akiwemo mfanyabiashara mmoja wamenaswa jijini Mwanza wakiwa na kiungo cha mkono wa kulia unaoamainika kuwa wa binaadamu ambapo walikamatwa kwenye eneo la ziwani na Uwanja wa Ndege wa Mwanza, kufatia taarifa za raia wema na kisha jeshi la polisi kuweka mtego kwa muda wa wiki nzima na kufanikiwa kuwakamata.

Hii ni balaa la Baba na Mwana Mzee Makamba na Mwanae siri nzito mnoo wakiongea zimevuja.

Kaimu Kamanda wa Polisi mkoani Mwanza Joseph Konyo amethibitisha tukio hilo na kwamba mkono huo uliokuwa umewekwa kwenye begi ukiwa umefungwa kwenye mfuko mweusi wa plasitiki na kuviringishwa kwenye karatasi nyeupe ya nailoni, umekutwa ukiwa mbichi.

Konyo ambaye pia ni Mkuu wa Upelelezi wa makosa ya jinai mkoani Mwanza RCOalieleza kuwa watuhumiwa hao majina yanahifadhiwa wenye umri wa miaka 36 na 43 ni waganga wa jadi wawili na mfanyabiashara ana miaka Taarifa zilizotolewa katika jeshi hilo na kuweka mtego huo kisha makubaliano ya kununua viungo hivyo kutoka kwa watuhumiwa hao wauzajiwalimhakikishia mnunuzi polisi kuwa wanaweza kupata kichwa, mikono, miguu na sehemu za siri za binaadamu endapo mteja angehitaji. Watu wa karibu na marehemu waliokuwa wanaishi naye huko Zanzibar wakizungumza jambo kwenye msiba wa Marehemu Balozi Isaac Abraham Sepetu leo nyumbani kwake Sinza jijini Dar es Salaam.

Mtoto wa marehemu akimsalimia mama baada ya kufika msibani hapo leo mchana. Mama akiwa na mwanae baada ya kufika msibani. Kajala alishindwa kujizuia na kuanza kulia na kupelekea watu wengine kuanza kulia kwa majonzi.

Jeneza lililobeba mwili wa Marehemu Balozi Isaac Abraham Sepetu likibebwa na kupelekwa ndani ya nyumba. Wema Sepetu akiwa ameshikiliwa baada ya kuona mwili wa baba yake mzazi Marehemu Balozi Isaac Abraham Sepetu ukiwa kwenye jeneza.

Ilikuwa ni simanzi kubwa kwa Wema Sepetu. Wema Sepetu akiwa na simanzi nzito. Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa kimataifa Mh.

Mwendesha misa akitoa neno. Mwili wa marehemu ukiombewa. Ni majonzi. Newer Posts Older Posts Home. Subscribe to: Posts Atom. Wafanyakazi wa Azam Tv wakiwa pamoja na waandishi wa habari waliotembelea ofisi zao.Mimi sijui password yako" mke akashauti tena kumwambia mumewe aliyepo bafuni Akachukua simu ya mumewe, akaingiza password na simu ikawa unlocked.

Akamtumia mama mkwe wake shilingi laki moja kama alivyoambiwa na mumewe. Baada ya kutuma, akaingiwa na tamaa ya kupitia pitia sms kwenye simu ya mumewe.

imevuja leo ione baba na mwanae

Akajiuliza maswali, kwanini mumewe aweke Password kwenye simu yake? Anaficha nini? Akiwa anaangalia angalia chats mbalimbali facebook, WhatsApp na sms za kawaida kwenye simu ya mumewe hakuamini macho yake Chats nyingi zilionesha mumewe akimzungumzia yeye vizuri kwa marafiki zake na familia yake, aliona sms nyingine mumewe akimsifia hata mbele ya wanawake wengine Mke akatabasamu na kujawa na uso wa furaha baada ya kuona mumewe kwa kiasi gani anamjali.

Akaona ni kwa kiasi gani mumewe yupo upande wake akimpigania. Akaona baadhi ya wanawake waliokuwa wakimtumua sms za kiuchokozi chokozi jinsi walivyomwagwa, na baadhi yao aliona mumewe amewatumia picha yao ya pamoja na kuandika caption kwamba "Huyu ndiyo mwanamke nimpendae" Kitu ambacho kiliwaziba midomo wanawake wengine.

Kadiri alivyozidi kupekua simu ya mumewe ndivyo alivyozidi kugundua ni kwa namna gani mumewe ni rafiki mzuri kwa watu.

BABA AMUUA MWANAE KWA KUMKATA MAPANGA NA KUMZIKA KISIRI

Anao marafiki wengi kwenye chat list yake na marafiki wa kweli wakizungumza dili za maana. Dogo alikutwa amefungwa cheni shingoni huku ikibanwa na kufuri kubwa alipookolewa na police baada ya RAIA wema kureport kwenye kituo cha police. Kwa sasa dogo ni mkubwa analelewa na mke wa gavana, kwa sasa Dogo anaendelea vizuri. Ndege Jasusi Aina ya Tai wa Israel Auawa Nchini Syria Upinzani nchini Syria watangaza kumuua ndege aliyetumiwa na Israel kufanya shughuli za kijasusi nchini SyriaUpinzani nchini Syria umetangaza kumpiga risasi ndege aina ya Tai aliyekuwa anatumiwa na Israel kufanya ujasusi katika kanda hiyo.

Ndege huyo anasemekana kuonekana maeneo ya Idlib karibu na mpaka wa Uturuki. Vikosi vya upinzani vilimuua ndege huyo kwa risasi baada ya kugundua kuwa alikuwa anapaa na kuzunguka eneo moja katika kanda hiyo. Ndege huyo alikuwa amewekwa kamera na vifaa vya uchuguzi katika mwili wake. Syria imekuwa ikikumbwa na vita kwaa miaka 6 sasa. Shilole amesema kama Mwenyezi Mungu atafanikisha mipango yao mwaka huu hautaisha kabla hajafunga ndoa na hiyo ndoa itakuwa ya kukata na shoka maana itatangazwa vituo vyote vya redio na kuonyeshwa vituo vyote vya Tv Tanzania.

Askofu Dr. Josephat Gwajima huenda akafungwa mwezi wa Kumekuwa na tetesi nyingi sana kuwa Daudi Albert Bashite baada ya kushindwa juu ya sakata la vyeti feki ametengeneza mpango kabambe na majaji kuhakikisha Askofu Gwajima anafungwa jela kwa kosa la kutotunza siraha vizuri, ambapo mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Agosti 30, itatoa hukumu katika kesi ya kushindwa kuhifadhi silaha na risasi inayomkabili Askofu wa Kanisa la ufufuo na uzima, Josephat Gwajima n Gwajima kwasasa yupo Japan kwa muda akihubiri injili huko.

Akizungumza na Risasi Mchanganyiko hivi karibuni, Wolper alisema hawezi kuogopa maneno ya watu wanayosema juu yake kwa vile hawaelewi anachokumbana nac Staa huyo aliongeza kuwa hata mtu aliyenaye hivi sasa endapo atagundua kama tabia hazirandani, ataangalia ustaarabu mwingine kwani haogopi kusemwa kuhusu kubadilisha wapenzi. Tumpe Pole Kamanda Mbowe.Jeshi la Polisi limefanikiwa kuwakamata watuhumiwa 33 waliohusika kwa namna moja au njingine katika kuhusika na mauaji ya mfanyabiashara Petro Sagalika yaliyotokea siku ya tarehe 02, Januari mwaka huu katika kijiji cha Msambala wilayani Kasulu Mkoani Kigoma.

Aidha Kamishna CP Sabas amesema Mzee Perto Sagalika alikuwa Mfanyabiashara wilayani Kasulu aliekuwa anamiliki vibanda sita vya biashara, watu hao walimfuata mida ya saa kumi na mbili jioni katika eneo lake la Biashara na kuanza kumkata kata kwa mapanga mpaka kupelekea umauti wake, wakati wananchi hao wakiendelea na adhima hiyo kijana wa Mzee huyo aliweza kupata taarifa kuwa baba yake kavamiwa alifika ili kuja kumsaidia ila nae aliuliwa pia kwa kukatwa katwa kwa Mapanga.

Baada ya hatua hiyo wananchi hao wenye hasira kali walielekea nyumbani kwa Mzee Petro Sagalika na walimkuta mkewe na mwanae wa kike wakiwa wamekaa na ndipo walijichukulia sheria mkononi tena kwa kuwaua kwa kuwakata kata na mapanga mpaka kusababisha vifo vya familia nzima ya Mzee huyo baada ya kuhakikisha wameisha ua familia nzima ndipo walichukua uamuzi wa kubomoa nyumba na vibanda vyote sita vya mfanyabiashara huyo na kisha kutoweka.

Taarifa hiyo imetolewa na Kamishna wa Operesheni na Mafunzo CP Liberatus Sabas, huku akisisitiza kuwa kwavile tukio lilitokea mchana hakuna atakaesalimika kwani wahusika wote watakamatwa na kufikishwa katika vyombo vya sheria huku akiongezea mpaka sasa wamepatikana watuhumiwa 33 ila bado Operesheni inaendelea kwani hakuna jiwe litasalia juu ya jiwe.

Cp Sabas, amewataka wananchi kutoa ushirikiano katika Vyombo vya Ulinzi na Usalama huku akiwataka wananchi kuacha kujichukulia sheria mikononi kwani ni kinyumea cha taratibu na sheria za nchi. Lemutuz Blog. By Admin. Share this post. Related articles. All rights reserved.


Kigasar

thoughts on “Imevuja leo ione baba na mwanae

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *